1Pigeni tarumbeta katika Sayuni;
2siku ya giza na huzuni,
3Mbele yao moto unateketeza,
4Wanaonekana kama farasi;
5Wanatoa sauti kama magari ya vita,
6Wanapoonekana, mataifa yanakuwa katika maumivu makuu;
7Wanashambulia kama wapiganaji wa vita;
8Hakuna anayemsukuma mwenzake;
9Wanaenda kasi kuingia mjini;
10Mbele yao dunia inatikisika,
11Bwana anatoa mshindo wa ngurumo
12“Hata sasa,” asema Bwana,
13Rarueni mioyo yenu
14Ni nani ajuaye? Yeye aweza kugeuka na kuwa na huruma
15Pigeni tarumbeta katika Sayuni,
16Wakusanyeni watu,
17Makuhani, ambao wanahudumu mbele za Bwana,
18Kisha Bwana atakuwa na wivu kwa ajili ya nchi yake
19Bwana atawajibu:
20“Nitafukuza jeshi la kaskazini likae mbali nanyi,
21Usiogope, ee nchi;
22Msiogope, enyi wanyama pori,
23Furahini, enyi watu wa Sayuni,
24Sakafu za kupuria zitajaa nafaka,
25“Nitawalipa kwa ajili ya miaka ile iliyoliwa na nzige:
26Mtakuwa na wingi wa vyakula mpaka mshibe,
27Ndipo mtakapojua kwamba mimi niko katika Israeli
28“Hata itakuwa, baada ya hayo,
29Hata juu ya watumishi wangu, wanaume kwa wanawake,
30Nami nitaonyesha maajabu katika mbingu
31Jua litageuzwa kuwa giza
32Na kila mtu atakayeliitia