1“Katika siku hizo na wakati huo,
2nitayakusanya mataifa yote na kuyaleta
3Wanawapigia kura watu wangu
4“Sasa una nini dhidi yangu, ee Tiro na Sidoni, nanyi nchi zote za Ufilisti? Je, mnanilipiza kwa yale niliyoyafanya? Kama mnalipa, mimi nitalipiza juu ya vichwa vyenu kwa kasi na kwa haraka yale mliyoyatenda.
5Kwa kuwa mlichukua fedha na dhahabu yangu pia mkabeba hazina zangu nzuri sana mkapeleka kwenye mahekalu yenu.
6Mliwauza watu wa Yuda na Yerusalemu kwa Wayunani, ili kwamba mpate kuwapeleka mbali na nchi yao.
7“Tazama nitawaamsha kutoka zile sehemu mlizowauza, nami nitawalipiza juu ya vichwa vyenu kile mlichofanya.
8Nitawauza wana wenu na binti zenu kwa watu wa Yuda, nao watawauza kwa Waseba, taifa lililo mbali.” Bwana amesema.
9Tangazeni hili miongoni mwa mataifa:
10Majembe yenu yafueni yawe panga
11Njooni haraka, ninyi mataifa yote kutoka pande zote,
12“Mataifa na yaamshwe;
13Tia mundu,
14Umati mkubwa, umati mkubwa
15Jua na mwezi vitatiwa giza,
16Bwana atanguruma kutoka Sayuni
17“Ndipo mtakapojua kwamba Mimi, Bwana Mungu wenu,
18“Katika siku hiyo milima itadondosha divai mpya,
19Lakini Misri itakuwa ukiwa,
20Yuda itakaliwa na watu milele
21Hatia yao ya damu, ambayo sijasamehe,