1“Nilijifunua kwa watu wale ambao hawakuniulizia.
2Mchana kutwa nimeinyoosha mikono yangu
3taifa ambalo daima hunikasirisha
4watu waketio katikati ya makaburi
5wasemao, ‘Kaa mbali; usinikaribie,
6“Tazama, jambo hili hubakia limeandikwa mbele zangu:
7dhambi zenu na dhambi za baba zenu,”
8Hili ndilo asemalo Bwana:
9Nitawaleta wazao kutoka kwa Yakobo,
10Sharoni itakuwa malisho
11“Bali kwenu ninyi mnaomwacha Bwana
12nitawaagiza mfe kwa upanga,
13Kwa hiyo hili ndilo asemalo Bwana Mwenyezi:
14Watumishi wangu wataimba
15Mtaliacha jina lenu
16Yeye aombaye baraka katika nchi
17“Tazama, nitaumba
18Lakini furahini na kushangilia daima
19Nami nitaifurahia Yerusalemu
20“Kamwe hatakuwepo tena ndani yake
21Watajenga nyumba na kuishi ndani yake;
22Hawatajenga nyumba, nao watu wengine waishi ndani yake,
23Hawatajitaabisha kwa kazi bure,
24Kabla hawajaita, nitajibu,
25Mbwa mwitu na mwana-kondoo watalisha pamoja,