We Believe JesusFé, Esperança e Nova Vida

Isaya 66

Biblica® Toleo Wazi la Neno: Biblia Takatifu™ · suaíli

← Isaya 65 Isaya

1Hili ndilo asemalo Bwana,

2Je, mkono wangu haukufanya vitu hivi vyote,

3Lakini yeyote atoaye dhabihu ya fahali

4Hivyo, mimi pia nitawachagulia mapigo makali,

5Sikieni neno la Bwana,

6Sikieni hizo ghasia kutoka mjini,

7“Kabla hajasikia utungu, alizaa;

8Ni nani amepata kusikia jambo kama hili?

9Je, nilete mwana hadi wakati wa kuzaliwa

10“Shangilieni pamoja na Yerusalemu na mfurahi kwa ajili yake,

11Kwa kuwa mtanyonya na kutosheka

12Kwa kuwa hili ndilo asemalo Bwana:

13Kama mama anavyomfariji mtoto wake,

14Wakati mtakapoona jambo hili, mioyo yenu itashangilia,

15Tazama, Bwana anakuja na moto,

16Kwa maana kwa moto na kwa upanga wake

17“Watu wote wanaojiweka wakfu na kujitakasa wenyewe ili kwenda bustanini, wakimfuata aliye katikati ya wale ambao hula nyama za nguruwe na panya pamoja na vitu vingine vilivyo machukizo, watafikia mwisho wao pamoja,” asema Bwana.

18“Nami, kwa sababu ya matendo yao na mawazo yao, niko karibu kuja na kukusanya mataifa yote na lugha zote, nao watakuja na kuuona utukufu wangu.

19“Nitaweka ishara katikati yao, nami nitapeleka baadhi ya hao walionusurika kwa mataifa, hadi Tarshishi, kwa Puli66:19 Puli hapa inamaanisha Libya. na Waludi (wanaojulikana kama wapiga upinde), kwa Tubali na Uyunani, hadi visiwa vya mbali ambavyo havijasikia juu ya sifa zangu au kuuona utukufu wangu. Watatangaza utukufu wangu miongoni mwa mataifa.

20Nao watawaleta ndugu zenu wote, kutoka mataifa yote, mpaka kwenye mlima wangu mtakatifu katika Yerusalemu kama sadaka kwa Bwana, juu ya farasi, katika magari ya vita na magari makubwa, juu ya nyumbu na ngamia,” asema Bwana. “Watawaleta, kama Waisraeli waletavyo sadaka zao za nafaka, katika Hekalu la Bwana, katika vyombo safi kwa kufuata desturi za ibada.

21Nami nitachagua baadhi yao pia wawe makuhani na Walawi,” asema Bwana.

22“Kama vile mbingu mpya na nchi mpya ninazozifanya zitakavyodumu mbele zangu,” asema Bwana, “ndivyo jina lenu na wazao wenu watakavyodumu.

23Kutoka Mwezi Mpya hata mwingine, na kutoka Sabato hadi nyingine, wanadamu wote watakuja na kusujudu mbele zangu,” asema Bwana.

24“Nao watatoka nje na kuona maiti za wale walioniasi mimi. Funza wao hawatakufa, wala moto wao hautazimika, nao watakuwa kitu cha kuchukiza sana kwa wanadamu wote.”

← Isaya 65 Isaya