1Laiti ungelipasua mbingu na kushuka chini,
2Kama vile moto uteketezavyo vijiti
3Kwa maana ulipofanya mambo ya kutisha ambayo hatukuyatazamia,
4Tangu nyakati za zamani hakuna yeyote aliyesikia,
5Uliwasaidia watu wale watendao yaliyo haki kwa furaha,
6Sisi sote tumekuwa kama mtu aliye najisi,
7Hakuna yeyote anayeliitia jina lako
8Lakini, Ee Bwana, wewe ndiwe Baba yetu.
9Ee Bwana, usikasirike kupita kiasi,
10Miji yako mitakatifu imekuwa jangwa;
11Hekalu letu takatifu na tukufu, mahali ambapo baba zetu walikusifu wewe,
12Ee Bwana, baada ya haya yote, utajizuia?