We Believe JesusFé, Esperança e Nova Vida

Isaya 63

Biblica® Toleo Wazi la Neno: Biblia Takatifu™ · suaíli

← Isaya 62 Isaya Isaya 64 →

1Ni nani huyu anayekuja kutoka Edomu,

2Kwa nini mavazi yako ni mekundu,

3“Nimekanyaga shinikizo la zabibu peke yangu;

4Kwa kuwa siku ya kisasi ilikuwa moyoni mwangu,

5Nilitazama, lakini hakuwepo yeyote wa kunisaidia,

6Nilikanyaga mataifa kwa miguu katika hasira yangu,

7Nitasimulia juu ya wema wa Bwana,

8Alisema, “Hakika wao ni watu wangu,

9Katika taabu zao zote naye alitaabika,

10Lakini waliasi,

11Ndipo watu wake wakazikumbuka siku zilizopita,

12aliyetuma mkono wake uliotukuka wenye nguvu

13aliyewaongoza kupitia kwenye vilindi?

14kama ngʼombe washukao bondeni kwenye malisho,

15Tazama chini kutoka mbinguni ukaone

16Lakini wewe ni Baba yetu,

17Ee Bwana, kwa nini unatuacha twende mbali na njia zako,

18Kwa maana kwa muda mfupi watu wako walimiliki mahali pako patakatifu,

19Sisi tumekuwa kama wale ambao hujawatawala kamwe,

← Isaya 62 Isaya Isaya 64 →