1“Shuka uketi mavumbini,
2Chukua mawe ya kusagia, usage unga,
3Uchi wako utafunuliwa
4Mkombozi wetu: Bwana Mwenye Nguvu Zote ndilo jina lake;
5“Keti kimya, ingia gizani,
6Niliwakasirikia watu wangu
7Ukasema, ‘Nitaendelea
8“Sasa basi, sikiliza, ewe kiumbe mpenda anasa,
9Haya mawili yatakupata, kufumba na kufumbua,
10Umeutegemea uovu wako,
11Maafa yatakujia,
12“Endelea basi na uaguzi wako,
13Ushauri wote uliopokea umekuchosha bure!
14Hakika wako kama mabua makavu;
15Hayo ndiyo yote wanayoweza kuwatendea ninyi,