1Beli anasujudu hadi nchi, Nebo anainama;
2Vinyago pamoja na wale wanaovibeba wanainama chini;
3“Nisikilizeni mimi, ee nyumba ya Yakobo,
4Hata mpaka wakati wa uzee wenu na mvi, Mimi ndiye,
5“Mtanilinganisha na nani, au mtanihesabu kuwa sawa na nani?
6Wengine humwaga dhahabu kutoka kwenye mifuko yao,
7Huiinua mabegani na kuichukua;
8“Kumbukeni hili, litieni akilini,
9Kumbukeni mambo yaliyopita, yale ya zamani za kale;
10Ni mimi nitangazaye mwisho tangu mwanzo,
11Kutoka mashariki ninaita ndege awindaye;
12Nisikilizeni, ninyi wenye mioyo migumu,
13Ninaleta haki yangu karibu,