We Believe JesusFé, Esperança e Nova Vida

Isaya 41

Biblica® Toleo Wazi la Neno: Biblia Takatifu™ · suaíli

← Isaya 40 Isaya Isaya 42 →

1“Nyamazeni kimya mbele zangu, enyi visiwa!

2“Ni nani aliyemchochea mmoja kutoka mashariki,

3Huwafuatia na kuendelea salama,

4Ni nani aliyefanya jambo hili na kulitimiliza,

5Visiwa vimeliona na kuogopa,

6kila mmoja humsaidia mwingine

7Fundi humtia moyo sonara,

8“Lakini wewe, ee Israeli, mtumishi wangu,

9nilikuchukua toka miisho ya dunia,

10Hivyo usiogope, kwa maana niko pamoja nawe;

11“Wote walioona hasira dhidi yako

12Ingawa utawatafuta adui zako,

13Kwa maana Mimi ndimi Bwana, Mungu wako,

14Usiogope, ee Yakobo uliye mdudu,

15“Tazama, nitakufanya chombo cha kupuria,

16Utaipepeta, nao upepo utaichukua,

17“Maskini na wahitaji wanatafuta maji,

18Nitaifanya mito itiririke juu ya vilima vilivyo kame,

19Katika jangwa nitaotesha

20ili kwamba watu wapate kuona na kujua,

21Bwana asema, “Leta shauri lako.

22“Leteni sanamu zenu zituambie

23tuambieni ni nini kitakachotokea baadaye,

24Lakini ninyi ni zaidi ya bure kabisa,

25“Nimemchochea mtu mmoja kutoka kaskazini,

26Ni nani aliyenena hili tokea mwanzoni, ili tupate kujua,

27Nilikuwa wa kwanza kumwambia Sayuni,

28Ninatazama, lakini hakuna yeyote:

29Tazama, wote ni ubatili!

← Isaya 40 Isaya Isaya 42 →