1Ole wako wewe, ee mharabu,
2Ee Bwana, uturehemu,
3Kwa ngurumo ya sauti yako, mataifa yanakimbia;
4Mateka yenu, enyi mataifa, yamevunwa kama vile wafanyavyo madumadu,
5Bwana ametukuka, kwa kuwa anakaa mahali palipoinuka,
6Atakuwa msingi ulio imara kwa wakati wenu,
7Angalia, watu wake mashujaa wanapiga kelele kwa nguvu barabarani,
8Njia kuu zimeachwa,
9Ardhi inaomboleza33:9 Au: Ardhi inakauka. na kuchakaa,
10“Sasa nitainuka,” asema Bwana.
11Mlichukua mimba ya makapi,
12Mataifa yatachomwa kama ichomwavyo chokaa,
13Ninyi mlio mbali sana, sikieni lile nililofanya;
14Wenye dhambi katika Sayuni wametiwa hofu,
15Yeye aendaye kwa uadilifu
16huyu ndiye mtu atakayeishi mahali pa juu,
17Macho yenu yatamwona mfalme katika uzuri wake
18Katika mawazo yenu mtaifikiria hofu iliyopita:
19Hutawaona tena wale watu wenye kiburi,
20Mtazame Sayuni, mji wa sikukuu zetu;
21Huko Bwana atakuwa Mwenye Nguvu wetu.
22Kwa kuwa Bwana ni mwamuzi wetu,
23Kamba zenu za merikebu zimelegea:
24Hakuna yeyote aishiye Sayuni atakayesema, “Mimi ni mgonjwa”;