1Tazama, mfalme atatawala kwa uadilifu
2Kila mtu atakuwa kama kivuli cha kujificha kutokana na upepo
3Ndipo macho ya wale wanaoona hayatafumbwa tena,
4Moyo wa mtu mwenye hamaki utafahamu na kuelewa,
5Mpumbavu hataitwa tena muungwana,
6Kwa kuwa mpumbavu hunena upumbavu,
7Taratibu za mtu mbaya kabisa ni ovu,
8Lakini mtu muungwana hufanya mipango ya kiungwana,
9Enyi wanawake wenye kuridhika sana,
10Muda zaidi kidogo ya mwaka mmoja,
11Tetemekeni, enyi wanawake wenye kuridhika,
12Pigeni matiti yenu kwa ajili ya mashamba mazuri,
13na kwa ajili ya nchi ya watu wangu,
14Ngome itaachwa,
15mpaka Roho amwagwe juu yetu kutoka juu,
16Haki itakaa katika jangwa,
17Matunda ya haki yatakuwa amani,
18Watu wangu wataishi katika makao ya mahali pa amani,
19Hata kama mvua ya mawe iangushe msitu
20tazama jinsi utakavyobarikiwa,