1Ole wako, wewe Arieli, Arieli,
2Hata hivyo nitauzunguka Arieli kwa jeshi,
3Nitapiga kambi pande zote dhidi yako,
4Utakaposhushwa, utanena kutoka ardhini,
5Lakini adui zako wengi watakuwa kama vumbi laini,
6Bwana Mwenye Nguvu Zote atakuja
7Kisha makundi ya mataifa yote yale yapiganayo dhidi ya Arieli,
8kama vile mtu aliye na njaa aotavyo kuwa anakula,
9Duwaeni na kushangaa,
10Bwana amewaleteeni usingizi mzito:
11Kwa maana kwenu ninyi, maono haya yote si kitu ila maneno yaliyotiwa lakiri katika kitabu. Kama mkimpa mtu yeyote awezaye kusoma kitabu hiki, nanyi mkamwambia, “Tafadhali kisome,” yeye atajibu, “Mimi siwezi, kwa kuwa kimetiwa lakiri.”
12Au kama mkimpa mtu yeyote kitabu hiki asiyeweza kusoma na kumwambia, “Tafadhali kisome,” atajibu, “Mimi sijui kusoma.”
13Bwana anasema:
14Kwa hiyo mara nyingine tena nitawashangaza watu hawa,
15Ole kwa wale wanaokwenda kwenye vilindi virefu
16Mnapindua mambo juu chini,
17Kwa muda mfupi sana, je, Lebanoni haitageuzwa kuwa shamba lenye rutuba,
18Katika siku ile viziwi watasikia maneno ya kitabu,
19Mara nyingine tena wanyenyekevu watafurahi katika Bwana,
20Wakatili watatoweka na wenye kudhihaki watatokomea,
21wale ambao kwa neno humfanya mtu kuwa mwenye hatia,
22Kwa hiyo hili ndilo Bwana, aliyemkomboa Abrahamu, analosema kwa nyumba ya Yakobo:
23Wakati watakapoona watoto wao miongoni mwao,
24Wale wanaopotoka rohoni watapata ufahamu,