We Believe JesusFé, Esperança e Nova Vida

Isaya 26

Biblica® Toleo Wazi la Neno: Biblia Takatifu™ · suaíli

← Isaya 25 Isaya Isaya 27 →

1Katika siku ile, wimbo huu utaimbwa katika nchi ya Yuda:

2Fungua malango ili taifa lenye haki lipate kuingia,

3Utamlinda katika amani kamilifu

4Mtumaini Bwana milele,

5Huwashusha wale wajikwezao,

6Miguu huukanyaga chini,

7Mapito ya wenye haki yamenyooka.

8Naam, Bwana, tukienenda katika sheria zako,

9Nafsi yangu yakutamani wakati wa usiku,

10Ingawa neema yaonyeshwa kwa waovu,

11Ee Bwana, mkono wako umeinuliwa juu,

12Bwana, unaamuru amani kwa ajili yetu,

13Ee Bwana, Mungu wetu, mabwana wengine zaidi ya wewe wametutawala,

14Wao sasa wamekufa, wala hawako tena hai,

15Umeliongeza hilo taifa, Ee Bwana,

16Bwana, walikujia katika taabu yao,

17Kama mwanamke mwenye mimba aliyekaribia kuzaa

18Tulikuwa na mimba, tuligaagaa kwa maumivu,

19Lakini wafu wenu wataishi,

20Nendeni, watu wangu, ingieni vyumbani mwenu

21Tazama, Bwana anakuja kutoka makao yake

← Isaya 25 Isaya Isaya 27 →