1Hili ndilo aliloliona Isaya mwana wa Amozi kuhusu Yuda na Yerusalemu:
2Katika siku za mwisho
3Mataifa mengi yatakuja na kusema,
4Atahukumu kati ya mataifa
5Njooni, enyi nyumba ya Yakobo,
6Umewatelekeza watu wako,
7Nchi yao imejaa fedha na dhahabu,
8Nchi yao imejaa sanamu,
9Kwa hiyo mwanadamu atashushwa
10Ingieni kwenye miamba,
11Macho ya mtu mwenye majivuno yatanyenyekezwa
12Bwana Mwenye Nguvu Zote anayo siku aliyoiweka akiba
13kwa mierezi yote ya Lebanoni iliyo mirefu sana,
14kwa milima yote mirefu
15kwa kila mnara ulio mrefu sana
16kwa kila meli ya biashara,2:16 Au: ya Tarshishi (ona pia 1Fal 10:22; 22:48; 2Nya 9:21; 20:36; Isa 60:9.)
17Majivuno ya mwanadamu yatashushwa,
18nazo sanamu zitatoweka kabisa.
19Watu watakimbilia kwenye mapango ndani ya miamba,
20Siku ile, watu watawatupia
21Watakimbilia kwenye mapango miambani
22Acheni kumtumainia mwanadamu,