1Chipukizi litatokea kutoka shina la Yese,
2Roho wa Bwana atakaa juu yake,
3naye atafurahia kumcha Bwana.
4bali kwa uadilifu atahukumu wahitaji,
5Haki itakuwa mkanda wake
6Mbwa mwitu ataishi pamoja na mwana-kondoo,
7Ngʼombe na dubu watalisha pamoja,
8Mtoto mchanga atacheza karibu na shimo la nyoka,
9Hawatadhuru wala kuharibu
10Katika siku hiyo, Shina la Yese atasimama kama bendera kwa ajili ya mataifa. Mataifa yatakusanyika kwake, na mahali pake pa kupumzikia patakuwa utukufu.
11Katika siku hiyo Bwana atanyoosha mkono wake mara ya pili kurudisha mabaki ya watu wake waliosalia kutoka Ashuru, Misri, Pathrosi,11:11 Pathrosi ina maana Misri ya Juu. Kushi, Elamu, Babeli, Hamathi na kutoka visiwa vya baharini.
12Atainua bendera kwa mataifa
13Wivu wa Efraimu utatoweka,
14Watawashukia katika miteremko ya Wafilisti
15Bwana atakausha
16Itakuwepo njia kuu kwa mabaki ya watu wake