1Nitasimama katika zamu yangu,
2Kisha Bwana akajibu:
3Kwa kuwa ufunuo huu unasubiri wakati uliokubalika;
4“Tazama, amejaa majivuno;
5hakika mvinyo humsaliti;
6“Je, watu wote hawatamsuta kwa dhihaka na kumbeza, wakisema,
7Je, wadai wako hawatainuka ghafula?
8Kwa kuwa umeteka nyara mataifa mengi,
9“Ole wake yeye ajengaye milki yake kwa mapato ya udhalimu,
10Umefanya shauri la maangamizi ya watu wengi,
11Mawe ya kuta yatapiga kelele,
12“Ole wake yeye ajengaye mji kwa kumwaga
13Je, Bwana Mwenye Nguvu Zote hakuonyesha
14Kwa kuwa dunia itajazwa na maarifa ya utukufu wa Bwana,
15“Ole wake yeye awapaye jirani zake kileo,
16Utajazwa na aibu badala ya utukufu.
17Ukatili ulioifanyia Lebanoni utakufunika,
18“Sanamu ina thamani gani,
19Ole wake yeye auambiaye mti, ‘Uwe hai!’
20Lakini Bwana yuko katika Hekalu lake takatifu;