1Neno alilopokea nabii Habakuki.
2Ee Bwana, hata lini nitakuomba msaada,
3Kwa nini unanifanya nitazame dhuluma?
4Kwa hiyo sheria imepotoshwa,
5“Yatazame mataifa,
6Nitawainua Wakaldayo,
7Ni watu wanoogopwa na wanaotisha;
8Farasi wao ni wepesi kuliko chui,
9wote wanakuja tayari kwa fujo.
10Wanawabeza wafalme,
11Kisha wanapita kasi kama upepo na kusonga mbele:
12Ee Bwana, je, wewe sio wa tangu milele?
13Macho yako ni safi mno hata yasiweze kuutazama uovu,
14Umewafanya watu kama samaki baharini,
15Adui mwovu anawavuta wote kwa ndoana,
16Kwa hiyo anatoa kafara kwa wavu wake,
17Je, aendelee kuwatoa walio katika wavu wake,