We Believe JesusFé, Esperança e Nova Vida

Habakuki 3

Biblica® Toleo Wazi la Neno: Biblia Takatifu™ · suaíli

← Habakuki 2 Habakuki

1Sala ya nabii Habakuki iliyoimbwa kwa shigionothi.3:1 Ni kifaa cha uimbaji chenye nyuzi; pia maombi kutumia kifaa hiki.

2Bwana, nimezisikia sifa zako;

3Mungu alitoka Temani,

4Mngʼao wake ulikuwa kama jua lichomozalo;

5Tauni ilimtangulia;

6Alisimama, akaitikisa dunia;

7Niliona watu wa Kushani katika dhiki,

8Ee Bwana, uliikasirikia mito?

9Uliufunua upinde wako

10milima ilikuona ikatetemeka.

11Jua na mwezi vilisimama kimya mbinguni

12Kwa ghadhabu ulipita juu ya dunia,

13Ulikuja kuwaokoa watu wako,

14Kwa mkuki wake mwenyewe ulitoboa kichwa chake

15Ulikanyaga bahari kwa farasi wako,

16Nilisikia na moyo wangu ukagonga kwa nguvu,

17Ingawa mtini hauchanui maua

18hata hivyo nitashangilia katika Bwana,

19Bwana Mwenyezi ni nguvu yangu;

← Habakuki 2 Habakuki