We Believe JesusFé, Esperança e Nova Vida

Wimbo 6

Biblica® Toleo Wazi la Neno: Biblia Takatifu™ · suaíli

← Wimbo 5 Wimbo Wimbo 7 →

1Mpenzi wako amekwenda wapi,

2Mpenzi wangu amekwenda bustanini mwake,

3Mimi ni wake mpenzi wangu,

4Wewe ni mzuri, mpenzi wangu, kama Tirsa,

5Uyageuze macho yako mbali nami,

6Meno yako ni kama kundi la kondoo

7Mashavu yako nyuma ya shela yako

8Panaweza kuwepo malkia sitini,

9lakini hua wangu, mkamilifu wangu,

10Ni nani huyu atokeaye kama mapambazuko,

11Niliteremka kwenye bustani ya miti ya milozi

12Kabla sijangʼamua,

13Rudi, rudi, ee Mshulami;

← Wimbo 5 Wimbo Wimbo 7 →