1Wana wa Isakari walikuwa:
2Wana wa Tola walikuwa:
3Mwana wa Uzi alikuwa:
4Kulingana na ukoo wa jamaa zao, walikuwa na watu hodari wa vita wapatao 36,000, kwa sababu walikuwa na wanawake na watoto wengi.
5Jamaa ya watu waliokuwa wapiganaji hodari kutoka koo zote za Isakari, kama ilivyoorodheshwa katika ukoo wao, jumla yao walikuwa 87,000.
6Wana watatu wa Benyamini walikuwa:
7Wana wa Bela walikuwa:
8Wana wa Bekeri walikuwa:
9Orodha ya ukoo wao iliyoandikwa viongozi wa jamaa zao walikuwa wapiganaji 20,200.
10Mwana wa Yediaeli alikuwa:
11Hawa wana wote wa Yediaeli walikuwa viongozi wa jamaa zao. Kulikuwako wanaume wapiganaji 17,200 waliokuwa tayari kwenda vitani.
12Washupimu na Wahupimu walikuwa wazao wa Iri. Wahushimu walikuwa wazao wa Aheri.
13Wana wa Naftali walikuwa:
14Wana wa Manase walikuwa:
15Makiri akatwaa mke kutoka miongoni mwa Wahupimu na Washupimu. Jina la dada yake aliitwa Maaka. Mwana wa pili wa Makiri aliitwa Selofehadi, ambaye alikuwa na wasichana tu.
16Maaka mkewe Makiri akamzaa mwana aliyemwita Pereshi. Jina la nduguye lilikuwa Shereshi. Wana wa Pereshi walikuwa Ulamu na Rakemu.
17Mwana wa Ulamu alikuwa:
18Dada yake aliyeitwa Hamolekethi aliwazaa Ish-Hodi, Abiezeri na Mahla.
19Wana wa Shemida walikuwa:
20Wana wa Efraimu walikuwa:
21Tahathi akamzaa Zabadi,
22Baba yao Efraimu akawaombolezea kwa siku nyingi, na jamaa zake wakaja kumfariji.
23Kisha akakutana kimwili na mke wake tena, naye akachukua mimba, akamzalia mwana. Akamwita Beria, kwa sababu ya misiba iliyoipata nyumba yake.
24Beria alikuwa na binti jina lake Sheera. Huyu ndiye aliijenga miji ya Beth-Horoni ya Juu na Beth-Horoni ya Chini, pamoja na Uzen-Sheera.
25Beria akamzaa pia Refa, naye Refa akamzaa Reshefu,
26Tahani akamzaa Ladani, Ladani akamzaa Amihudi,
27Elishama akamzaa Nuni,
28Nchi zao na makazi yao yalijumuisha Betheli na vijiji vilivyouzunguka, Naarani ilikuwa upande wa mashariki, Gezeri pamoja na vijiji vyake upande wa magharibi, pia Shekemu na vijiji vyake hadi kufikia Aya na vijiji vyake.
29Katika mipaka ya Manase walikuwepo Beth-Shani, Taanaki, Megido na Dori pamoja na vijiji vyake. Wana wa Yosefu mwana wa Israeli waliishi katika miji hii.
30Wana wa Asheri walikuwa:
31Wana wa Beria walikuwa:
32Heberi akawazaa Yafleti, Shomeri na Hothamu, na Shua dada yao.
33Wana wa Yafleti walikuwa:
34Wana wa Shemeri walikuwa:
35Wana wa Helemu ndugu yake walikuwa:
36Wana wa Sofa walikuwa:
37Bezeri, Hodu, Shama, Shilsha, Ithrani7:37 Kwa jina lingine Yetheri. na Beera.
38Wana wa Yetheri walikuwa:
39Wana wa Ula walikuwa:
40Hawa wote ndio waliokuwa wazao wa Asheri, viongozi wa jamaa zao, watu bora, mashujaa walio hodari na viongozi maarufu. Idadi ya watu waliokuwa tayari kwa vita, kama ilivyoorodheshwa katika ukoo wao, walikuwa 26,000.