We Believe JesusFé, Esperança e Nova Vida

1 Nyakati 2

Biblica® Toleo Wazi la Neno: Biblia Takatifu™ · suaíli

← 1 Nyakati 1 1 Nyakati 1 Nyakati 3 →

1Hawa ndio waliokuwa wana wa Israeli:

2Dani, Yosefu, Benyamini, Naftali, Gadi na Asheri.

3Wana wa Yuda walikuwa:

4Tamari, mkwewe Yuda, alimzalia wana wawili: Peresi na Zera. Yuda alikuwa na jumla ya wana watano.

5Wana wa Peresi walikuwa:

6Wana wa Zera walikuwa:

7Mwana wa Karmi alikuwa:

8Mwana wa Ethani alikuwa:

9Wana wa Hesroni walikuwa:

10Ramu alimzaa

11Nashoni akamzaa Salmoni, Salmoni akamzaa Boazi,

12Boazi akamzaa Obedi, Obedi akamzaa Yese.

13Yese akawazaa

14wa nne Nethaneli, wa tano Radai,

15wa sita Osemu, na wa saba Daudi.

16Dada zao walikuwa Seruya na Abigaili. Wana wa Seruya walikuwa watatu: Abishai, Yoabu na Asaheli.

17Abigaili alikuwa mama yake Amasa, ambaye baba yake alikuwa Yetheri, Mwishmaeli.

18Kalebu mwana wa Hesroni akazaa wana na mkewe Azuba (na pia na Yeriothi). Hawa ndio wana Azuba aliomzalia Kalebu: Yesheri, Shobabu na Ardoni.

19Azuba alipofariki, Kalebu akamwoa Efrathi, ambaye alimzalia Huri.

20Huri akamzaa Uri, Uri akamzaa Bezaleli.

21Hatimaye, Hesroni akakutana kimwili na binti wa Makiri babaye Gileadi (ambaye alimwoa alipokuwa na umri wa miaka sitini), naye akamzaa Segubu.

22Segubu akamzaa Yairi, ambaye alitawala miji ishirini na mitatu katika Gileadi.

23(Lakini Geshuri na Aramu wakateka miji ya Hawoth-Yairi, pamoja na Kenathi na viunga vyake; jumla ilikuwa miji sitini.) Wote hawa walikuwa wazao wa Makiri babaye Gileadi.

24Baada ya Hesroni kufa huko Efrathi, Abiya mjane wa Hesroni akamzalia Ashuru, aliye baba wa Tekoa.

25Wana wa Yerameeli mzaliwa wa kwanza wa Hesroni walikuwa:

26Yerameeli alikuwa na mke mwingine, aliyeitwa Atara, aliyekuwa mama yake Onamu.

27Wana wa Ramu mzaliwa wa kwanza wa Yerameeli walikuwa:

28Wana wa Onamu walikuwa:

29Mke wa Abishuri aliitwa Abihaili, ambaye alimzalia Abani na Molidi.

30Wana wa Nadabu walikuwa

31Apaimu akamzaa:

32Wana wa Yada, nduguye Shamai walikuwa:

33Wana wa Yonathani walikuwa:

34Sheshani hakuwa na watoto wa kiume, ila wasichana tu.

35Sheshani akamwoza huyu mtumishi wake Yarha binti yake, akamzalia mwana jina lake Atai.

36Atai akamzaa Nathani,

37Zabadi akamzaa Eflali,

38Obedi akamzaa Yehu,

39Azaria akamzaa Helesi,

40Eleasa akamzaa Sismai,

41Shalumu akamzaa Yekamia,

42Wana wa Kalebu nduguye Yerameeli walikuwa:

43Hebroni alikuwa na wana wanne:

44Shema alikuwa baba yake Rahamu na Rahamu alikuwa baba wa Yorkeamu na Rekemu alikuwa baba wa Shamai.

45Shamai akamzaa Maoni na Maoni akamzaa Beth-Suri.

46Efa, suria wa Kalebu alikuwa mamaye Harani, Mosa na Gazezi. Harani alikuwa baba wa Gazezi.

47Wana wa Yadai walikuwa:

48Maaka suria wa Kalebu alikuwa mamaye Sheberi na Tirhana.

49Pia Maaka akamzaa Shaafu babaye Madmana, na Sheva babaye Makbena na Gibea. Kalebu alikuwa na binti jina lake Aksa.

50Hawa ndio waliokuwa wazao wa Kalebu.

51Salma akamzaa Bethlehemu, naye Harefu akamzaa Beth-Gaderi.

52Wazao wa Shobali, baba yake Kiriath-Yearimu, walikuwa:

53pamoja na koo za Kiriath-Yearimu ambazo ni: Waithiri, Waputhi, Washumathi na Wamishrai. Kutokana na watu hawa walizaliwa Wasorathi na Waeshtaoli.

54Wazao wa Salma walikuwa:

55pamoja na koo za waandishi zilizoishi katika mji wa Yabesi: yaani Watirathi, Washimeathi na Wasukathi. Hawa ndio Wakeni waliotokana na Hamathi, baba wa nyumba ya Rekabu.

← 1 Nyakati 1 1 Nyakati 1 Nyakati 3 →