1Hawa ndio waliokuwa wana wa Daudi waliozaliwa huko Hebroni:
2wa tatu alikuwa Absalomu, ambaye mama yake alikuwa Maaka, binti Talmai mfalme wa Geshuri;
3wa tano alikuwa Shefatia ambaye mama yake alikuwa Abitali;
4Hawa sita walizaliwa huko Hebroni ambako Daudi alitawala kwa miaka saba na miezi sita.
5nao hawa ndio watoto wa Daudi waliozaliwa huko Yerusalemu:
6Pia kulikuwa na wana wengine: Ibihari, Elishua, Elifeleti,
7Noga, Nefegi, Yafia,
8Elishama, Eliada na Elifeleti; wote walikuwa tisa.
9Hawa wote walikuwa wana wa Daudi, mbali na wale wana waliozaliwa na masuria. Naye Tamari alikuwa dada yao.
10Mwana wa Solomoni alikuwa Rehoboamu,
11mwanawe huyo alikuwa Yehoramu,
12mwanawe huyo alikuwa Amazia,
13mwanawe huyo alikuwa Ahazi,
14mwanawe huyo alikuwa Amoni
15Wana wa Yosia walikuwa:
16Walioingia mahali pa Yehoyakimu kama wafalme ni:
17Hawa ndio waliokuwa wazao wa Yekonia aliyekuwa mateka:
18Malkiramu, Pedaya, Shenasari, Yekamia, Hoshama na Nedabia.
19Wana wa Pedaya walikuwa:
20Pia walikuwepo wengine watano:
21Wazao wa Hanania walikuwa:
22Wazao wa Shekania:
23Wana wa Nearia walikuwa:
24Wana wa Elioenai walikuwa: