We Believe JesusFé, Esperança e Nova Vida

Zaburi 94

Biblica® Toleo Wazi la Neno: Biblia Takatifu™ · suaíli

← Zaburi 93 Zaburi Zaburi 95 →

1Ee Bwana, ulipizaye kisasi,

2Ee Mhukumu wa dunia, inuka,

3Hata lini, waovu, Ee Bwana,

4Wanamimina maneno ya kiburi,

5Ee Bwana, wanawaponda watu wako,

6Wanamchinja mjane na mgeni,

7Nao husema, “Bwana haoni,

8Sikizeni, enyi wajinga miongoni mwa watu;

9Je, aliyeweka sikio asisikie?

10Je, anayeadhibisha mataifa asiadhibu?

11Bwana anajua mawazo ya mwanadamu;

12Ee Bwana, heri mtu anayeadhibishwa na wewe,

13unampa utulivu siku za shida,

14Kwa kuwa Bwana hatawakataa watu wake,

15Hukumu itasimamishwa tena kwenye haki,

16Ni nani atakayeinuka dhidi ya mwovu kwa ajili yangu?

17Kama Bwana asingelinisaidia upesi,

18Niliposema, “Mguu wangu unateleza,”

19Wakati wasiwasi ulipokuwa mwingi ndani yangu,

20Je, kiti cha utawala wa udhalimu kitajiunga nawe,

21Huungana kuwashambulia wenye haki,

22Lakini Bwana amekuwa ngome yangu,

23Yeye atawalipa kwa ajili ya dhambi zao

← Zaburi 93 Zaburi Zaburi 95 →