We Believe JesusFé, Esperança e Nova Vida

Zaburi 61

Biblica® Toleo Wazi la Neno: Biblia Takatifu™ · suaíli

← Zaburi 60 Zaburi Zaburi 62 →

1Ee Mungu, sikia kilio changu,

2Kutoka miisho ya dunia ninakuita,

3Kwa kuwa umekuwa kimbilio langu,

4Natamani kukaa hemani mwako milele,

5Ee Mungu, kwa kuwa umesikia nadhiri zangu,

6Mwongezee mfalme siku za maisha yake,

7Yeye na atawazwe kwenye kiti cha enzi mbele za Mungu milele;

8Ndipo daima nitaliimbia sifa jina lako

← Zaburi 60 Zaburi Zaburi 62 →