1Ee Mungu, sikiliza maombi yangu,
2Nisikie na unijibu.
3kwa sauti ya adui,
4Moyo wangu umejaa uchungu,
5Woga na kutetemeka vimenizunguka,
6Nilisema, “Laiti ningekuwa na mbawa za njiwa!
7Ningalitorokea mbali sana
8ningaliharakisha kwenda mahali pa salama,
9Ee Bwana, uwatahayarishe waovu
10Usiku na mchana wanazunguka juu ya kuta zake,
11Nguvu za uharibifu zinatenda kazi mjini,
12Kama aliyenitukana ni adui yangu, ningevumilia,
13Kumbe ni wewe, mwenzangu,
14ambaye awali tulifurahia ushirika mzuri,
15Kifo na kiwajie adui zangu ghafula,
16Lakini ninamwita Mungu,
17Jioni, asubuhi na adhuhuri
18Huniokoa nikawa salama katika vita
19Mungu anayemiliki milele,
20Mwenzangu hushambulia rafiki zake,
21Mazungumzo yake ni laini kama siagi,
22Mtwike Bwana fadhaa zako,
23Lakini wewe, Ee Mungu,