1Ee Mungu, uniweke salama,
2Nilimwambia Bwana, “Wewe ndiwe Bwana wangu;
3Kwa habari ya watakatifu walioko duniani,
4Huzuni itaongezeka kwa wale
5Bwana umeniwekea fungu langu na kikombe changu;
6Alama za mipaka zimeniangukia mahali pazuri,
7Nitamsifu Bwana ambaye hunishauri,
8Nimemweka Bwana mbele yangu daima.
9Kwa hiyo moyo wangu unafurahia, na ulimi wangu unashangilia;
10kwa maana hutaniacha kaburini,
11Umenijulisha njia ya uzima;