1Ee Bwana, sikia sala yangu,
2Usimhukumu mtumishi wako,
3Adui hunifuatilia,
4Kwa hiyo roho yangu inazimia ndani yangu,
5Nakumbuka siku za zamani;
6Nanyoosha mikono yangu kwako,
7Ee Bwana, unijibu haraka,
8Asubuhi uniletee neno la upendo wako usiokoma,
9Ee Bwana, uniokoe na adui zangu,
10Nifundishe kufanya mapenzi yako,
11Ee Bwana, kwa ajili ya jina lako, hifadhi maisha yangu,
12Kwa upendo wako usiokoma,