1Mpaka lini, Ee Bwana? Je, utanisahau milele?
2Nitapambana na mawazo yangu mpaka lini,
3Nitazame, unijibu, Ee Bwana Mungu wangu.
4Adui yangu atasema, “Nimemshinda,”
5Lakini ninategemea upendo wako usiokoma;
6Nitamwimbia Bwana,
Biblica® Toleo Wazi la Neno: Biblia Takatifu™ · suaíli