1Bwana tusaidie, kwa kuwa wacha Mungu wametoweka;
2Kila mmoja humwambia jirani yake uongo;
3Bwana na akatilie mbali midomo yote ya hila
4ule unaosema, “Kwa ndimi zetu tutashinda;
5“Kwa sababu ya uonevu wa wanyonge
6Maneno ya Bwana ni safi,
7Ee Bwana, utatuweka salama
8Watu waovu huenda wakiringa kila mahali