1Nilishangilia pamoja na wale walioniambia,
2Ee Yerusalemu, miguu yetu imesimama
3Yerusalemu imejengwa vyema kama mji
4Huko ndiko makabila hukwea,
5Huko viti vya enzi vya hukumu hukaa,
6Omba kwa ajili ya amani ya Yerusalemu:
7Amani na iwepo ndani ya kuta zako
8Kwa ajili ya ndugu zangu na marafiki,
9Kwa ajili ya nyumba ya Bwana Mungu wetu,