1Nayainua macho yangu nitazame vilima,
2Msaada wangu hutoka kwa Bwana,
3Hatauacha mguu wako uteleze,
4hakika, yeye alindaye Israeli
5Bwana anakulinda,
6jua halitakudhuru mchana,
7Bwana atakukinga na madhara yote,
8Bwana atakulinda unapoingia na unapotoka,