We Believe JesusFé, Esperança e Nova Vida

Zaburi 119

Biblica® Toleo Wazi la Neno: Biblia Takatifu™ · suaíli

← Zaburi 118 Zaburi Zaburi 120 →

1Heri wale walio waadilifu katika njia zao,

2Heri wale wanaozishika shuhuda zake,

3Wasiofanya lolote lililo baya,

4Umetoa maagizo yako

5Laiti mwenendo wangu ungekuwa imara

6Hivyo mimi sitaaibishwa

7Nitakusifu kwa moyo mnyofu

8Nitayatii maagizo yako;

9Kijana aifanye njia yake kuwa safi jinsi gani?

10Ninakutafuta kwa moyo wangu wote,

11Nimelificha neno lako moyoni mwangu

12Sifa ni zako, Ee Bwana,

13Kwa midomo yangu nitasimulia sheria zote

14Ninafurahia kufuata sheria zako

15Ninatafakari maagizo yako

16Ninafurahia maagizo yako,

17Mtendee mema mtumishi wako, nami nitaishi;

18Yafungue macho yangu nipate kuona

19Mimi ni mgeni duniani,

20Nafsi yangu inataabika kwa shauku kubwa

21Unawakemea wenye majivuno, waliolaaniwa

22Niondolee dharau na dhihaka,

23Ingawa watawala huketi pamoja na kunisingizia,

24Sheria zako ni furaha yangu,

25Nimelazwa chini mavumbini,

26Nilikueleza njia zangu ukanijibu,

27Nijulishe mafundisho ya mausia yako,

28Nafsi yangu imechakazwa kwa huzuni,

29Niepushe na njia za udanganyifu,

30Nimechagua njia ya kweli,

31Nimengʼangʼania sheria zako, Ee Bwana,

32Nakimbilia katika njia ya maagizo yako,

33Ee Bwana, nifundishe kuyafuata maagizo yako,

34Nipe ufahamu, nami nitaishika sheria yako

35Niongoze kwenye njia ya amri zako,

36Ugeuze moyo wangu kuelekea sheria zako,

37Geuza macho yangu kutoka kwenye mambo yasiyofaa,

38Mtimizie mtumishi wako ahadi yako,

39Niondolee aibu ninayoiogopa,

40Tazama jinsi ninavyoonea shauku mausia yako!

41Ee Bwana, upendo wako usiokoma unijie,

42ndipo nitakapomjibu anayenidhihaki,

43Usilinyakue neno la kweli kutoka kinywani mwangu,

44Nitaitii amri yako daima,

45Nitatembea nikiwa huru,

46Nitasema sheria zako mbele za wafalme

47kwa kuwa ninazifurahia amri zako

48Ninaziinulia amri zako ambazo ninazipenda mikono yangu,

49Kumbuka neno lako kwa mtumishi wako,

50Faraja yangu katika mateso yangu ni hii:

51Wenye majivuno wamenisimanga bila kuchoka,

52Ee Bwana, ninazikumbuka sheria zako za zamani,

53Nimeshikwa sana na ghadhabu kwa ajili ya waovu,

54Maagizo yako ni kiini cha nyimbo zangu

55Ee Bwana, wakati wa usiku ninalikumbuka jina lako,

56Hili limekuwa zoezi langu:

57Ee Bwana, wewe ni fungu langu,

58Nimetafuta uso wako kwa moyo wangu wote,

59Nimezifikiri njia zangu

60Nitafanya haraka bila kuchelewa

61Hata waovu wanifunge kwa kamba,

62Usiku wa manane ninaamka kukushukuru

63Mimi ni rafiki kwa wale wote wakuchao,

64Ee Bwana, dunia imejaa upendo wako,

65Mtendee wema mtumishi wako

66Nifundishe maarifa na uamuzi mzuri,

67Kabla sijapata shida nilipotea njia,

68Wewe ni mwema, unalotenda ni jema,

69Ingawa wenye majivuno wamenisingizia uongo,

70Mioyo yao ni katili na migumu,

71Ilikuwa vyema mimi kupata shida

72Sheria inayotoka kinywani mwako ina thamani kubwa kwangu

73Mikono yako ilinifanya na kuniumba,

74Wakuchao wafurahie wanaponiona,

75Ee Bwana, ninajua kwamba sheria zako ni za haki,

76Upendo wako usiokoma uwe faraja yangu,

77Huruma yako na inijie ili nipate kuishi,

78Wenye majivuno na waaibishwe kwa kunikosea mimi bila sababu,

79Wale wakuchao na wanigeukie mimi,

80Moyo wangu usiwe na lawama katika kutii maagizo yako,

81Nafsi yangu inazimia kwa kutamani wokovu wako,

82Macho yangu yamefifia, nikingoja ahadi yako;

83Ingawa nimekuwa kama kiriba kwenye moshi,

84Mtumishi wako itampasa angoje mpaka lini?

85Wenye majivuno wananichimbia mashimo,

86Amri zako zote ni za kuaminika;

87Walikaribia kabisa kunifuta kutoka uso wa dunia,

88Yahifadhi maisha yangu sawasawa na upendo wako,

89Ee Bwana, neno lako ni la milele,

90Uaminifu wako unaendelea kwa vizazi vyote,

91Sheria zako zinadumu hadi leo,

92Kama nisingefurahia sheria yako,

93Sitasahau mausia yako kamwe,

94Uniokoe, kwa maana mimi ni wako,

95Waovu wanangojea kuniangamiza,

96Katika ukamilifu wote ninaona mna kikomo,

97Aha! Tazama, sheria yako naipenda mno ajabu.

98Amri zako zimenipa hekima zaidi kuliko adui zangu,

99Nina akili zaidi kuliko walimu wangu wote,

100Nina ufahamu zaidi kuliko wazee,

101Nimezuia miguu yangu isiende kwenye kila njia mbaya,

102Sijaziacha sheria zako,

103Tazama jinsi maneno yako yalivyo matamu kwangu,

104Ninapata ufahamu kutoka mausia yako,

105Neno lako ni taa ya miguu yangu

106Nimeapa na nimethibitisha,

107Nimeteseka sana, uhifadhi maisha yangu, Ee Bwana,

108Ee Bwana, pokea sifa za hiari za kinywa changu,

109Ingawa maisha yangu yako hatarini siku zote,

110Waovu wamenitegea mtego,

111Sheria zako ni urithi wangu milele,

112Nimekusudia moyoni mwangu

113Ninachukia watu wa nia mbili,

114Wewe ni kimbilio langu na ngao yangu,

115Ondokeni kwangu, ninyi mtendao mabaya,

116Nihifadhi sawasawa na ahadi yako, nami nitaishi;

117Nitegemeze, nami nitaokolewa,

118Unawakataa wote wanaoyaasi maagizo yako,

119Waovu wa nchi unawatupa kama takataka,

120Mwili wangu unatetemeka kwa kukuogopa wewe,

121Nimetenda yaliyo haki na sawa,

122Mhakikishie mtumishi wako usalama,

123Macho yangu yamefifia, yakitazamia wokovu wako,

124Mfanyie mtumishi wako kulingana na upendo wako

125Mimi ni mtumishi wako; nipe ufahamu

126Ee Bwana, wakati wako wa kutenda umewadia,

127Kwa sababu nazipenda amri zako zaidi ya dhahabu,

128na kwa sababu naona maagizo yako yote ni adili,

129Sheria zako ni za ajabu,

130Kuingia kwa maneno yako kunaleta nuru,

131Nimefungua kinywa changu na kuhema,

132Nigeukie na unihurumie, kama uwafanyiavyo siku zote

133Ongoza hatua zangu kulingana na neno lako,

134Niokoe na uonevu wa wanadamu,

135Mwangazie mtumishi wako uso wako

136Chemchemi za machozi zinatiririka kutoka machoni yangu,

137Ee Bwana, wewe ni mwenye haki,

138Sheria ulizoziweka ni za haki,

139Jitihada yangu imenidhoofisha, kwa kuwa adui zangu

140Ahadi zako zimejaribiwa kikamilifu,

141Ingawa ni mdogo na ninadharauliwa,

142Haki yako ni ya milele,

143Shida na dhiki zimenipata,

144Sheria zako ni sahihi milele,

145Ee Bwana, ninakuita kwa moyo wangu wote,

146Ninakuita; niokoe

147Ninaamka asubuhi na mapema na kukuomba msaada;

148Sikufumba macho yangu usiku kucha,

149Usikie sauti yangu sawasawa na upendo wako,

150Wale wanaopanga mipango miovu wako karibu nami,

151Ee Bwana, hata hivyo wewe u karibu,

152Tangu zamani nimejifunza kutoka shuhuda zako

153Yaangalie mateso yangu, uniokoe,

154Nitetee katika hali hii yangu na unikomboe,

155Wokovu uko mbali na waovu,

156Ee Bwana, huruma zako ni kuu,

157Adui wanaonitesa ni wengi,

158Ninawatazama wasioamini kwa chuki,

159Tazama jinsi ninavyopenda mausia yako;

160Maneno yako yote ni kweli,

161Watawala wamenitesa bila sababu,

162Nafurahia ahadi zako

163Ninachukia na kuchukizwa sana na uongo,

164Ninakusifu mara saba kwa siku,

165Wanaopenda sheria yako wana amani tele,

166Ee Bwana, ninangojea wokovu wako,

167Ninazitii sheria zako,

168Nimetii mausia yako na sheria zako,

169Ee Bwana, kilio changu na kifike mbele zako,

170Maombi yangu na yafike mbele zako,

171Midomo yangu na ibubujike sifa,

172Ulimi wangu na uimbe kuhusu neno lako,

173Mkono wako uwe tayari kunisaidia,

174Ee Bwana, ninatamani wokovu wako,

175Nijalie kuishi ili nipate kukusifu,

176Nimetangatanga kama kondoo aliyepotea.

← Zaburi 118 Zaburi Zaburi 120 →