We Believe JesusFé, Esperança e Nova Vida

Zaburi 118

Biblica® Toleo Wazi la Neno: Biblia Takatifu™ · suaíli

← Zaburi 117 Zaburi Zaburi 119 →

1Mshukuruni Bwana, kwa kuwa ni mwema;

2Israeli na aseme sasa:

3Nyumba ya Aroni na iseme sasa:

4Wote wamchao Bwana na waseme sasa:

5Wakati wa maumivu yangu makuu nilimlilia Bwana,

6Bwana yuko pamoja nami, sitaogopa.

7Bwana yuko pamoja nami,

8Ni bora kumkimbilia Bwana

9Ni bora kumkimbilia Bwana

10Mataifa yote yalinizunguka,

11Walinizunguka pande zote,

12Walinizunguka kama kundi la nyuki,

13Nilisukumwa nyuma karibu kuanguka,

14Bwana ni nguvu yangu na wimbo wangu,

15Sauti za shangwe na ushindi

16Mkono wa kuume wa Bwana

17Sitakufa, bali nitaishi,

18Bwana ameniadhibu vikali,

19Nifungulie malango ya haki,

20Hili ni lango la Bwana

21Nitakushukuru, kwa kuwa ulinijibu,

22Jiwe walilolikataa waashi,

23Bwana ametenda hili,

24Hii ndiyo siku Bwana aliyoifanya,

25Ee Bwana, tuokoe,

26Heri yule ajaye kwa jina la Bwana.

27Bwana ndiye Mungu,

28Wewe ni Mungu wangu, nitakushukuru,

29Mshukuruni Bwana kwa kuwa ni mwema;

← Zaburi 117 Zaburi Zaburi 119 →