1Kumbuka, Ee Bwana, yaliyotupata,
2Urithi wetu umegeuziwa kwa wageni,
3Tumekuwa yatima wasio na baba,
4Ni lazima tununue maji tunayokunywa,
5Wanaotufuatilia wapo kwenye visigino vyetu,
6Tumejitolea kwa Misri na Ashuru
7Baba zetu walitenda dhambi na hawapo tena,
8Watumwa wanatutawala
9Tunapata chakula chetu kwa kuhatarisha maisha yetu
10Ngozi yetu ina joto kama tanuru,
11Wanawake wametendwa jeuri katika Sayuni,
12Wakuu wametungikwa juu kwa mikono yao,
13Vijana wanataabika kwenye mawe ya kusagia,
14Wazee wameondoka langoni la mji,
15Furaha imeondoka mioyoni mwetu,
16Taji imeanguka kutoka kichwani petu.
17Kwa sababu hiyo, mioyo yetu inazimia,
18kwa ajili ya Mlima Sayuni, ambao unakaa ukiwa,
19Wewe, Ee Bwana unatawala milele,
20Kwa nini watusahau siku zote?
21Turudishe kwako mwenyewe, Ee Bwana,
22isipokuwa uwe umetukataa kabisa