We Believe JesusFé, Esperança e Nova Vida

Ayubu 9

Biblica® Toleo Wazi la Neno: Biblia Takatifu™ · suaíli

← Ayubu 8 Ayubu Ayubu 10 →

1Kisha Ayubu akajibu:

2“Naam, najua hili ni kweli.

3Ingawa mtu angetaka kushindana naye,

4Hekima yake ni kubwa sana na ana uwezo mwingi mno.

5Aiondoa milima bila yenyewe kujua

6Aitikisa dunia kutoka mahali pake

7Husema na jua, nalo likaacha kuangaza;

8Yeye peke yake huzitandaza mbingu

9Yeye ndiye Muumba wa nyota za Dubu,9:9 Nyota za Dubu hapa ina maana ya kundi la nyota za kaskazini, ambazo zinaitwa kwa jina la Dubu Mkuu. na Orioni,9:9 Orioni ni kundi la nyota kubwa.

10Hutenda maajabu yasiyopimika,

11Anapopita karibu nami, siwezi kumwona;

12Anapochukua kwa ghafula, ni nani awezaye kumzuia?

13Mungu hataizuia hasira yake;

14“Ni vipi basi mimi nitaweza kubishana naye?

15Ingawa sikuwa na hatia, sikuweza kumjibu;

16Hata kama ningemwita kwenye shauri, naye akakubali,

17Yeye angeniangamiza kwa dhoruba

18Asingeniacha nipumue

19Kama ni suala la nguvu, yeye ni mwenye nguvu!

20Hata kama sikuwa na hatia, kinywa changu kingenihukumu;

21“Ingawa mimi sina kosa,

22Hayo yote ni sawa; ndiyo sababu nasema,

23Wakati pigo liletapo kifo cha ghafula,

24Wakati nchi inapoangukia mikononi mwa waovu,

25“Siku zangu zapita mbio kuliko mkimbiaji;

26Zinapita upesi kama mashua ya mafunjo,

27Kama nikisema, ‘Nitayasahau malalamiko yangu,

28bado ninahofia mateso yangu yote,

29Kwa kuwa nimeonekana mwenye hatia,

30Hata kama ningejiosha kwa sabuni

31wewe ungenitupa kwenye shimo la utelezi

32“Yeye si mwanadamu kama mimi ili niweze kumjibu,

33Laiti angelikuwepo mtu wa kutupatanisha kati yetu,

34mtu angeliiondoa fimbo ya Mungu juu yangu,

35Ndipo ningenena naye, bila kumwogopa,

← Ayubu 8 Ayubu Ayubu 10 →