1“Kwa hili moyo wangu unatetemeka,
2Sikiliza! Sikiliza ngurumo ya sauti yake,
3Huuachilia umeme wake wa radi chini ya mbingu yote
4Baada ya hayo huja sauti ya ngurumo yake;
5Sauti ya Mungu hunguruma kwa namna za ajabu;
6Huiambia theluji, ‘Anguka juu ya dunia,’
7Ili wanadamu wote aliowaumba wapate kujua kazi zake,
8Wanyama hujificha;
9Dhoruba hutoka katika chumba chake,
10Pumzi ya Mungu hutoa barafu,
11Huyasheheneza mawingu kwa maji,
12Nayo mawingu huzungukazunguka pande zote kwa amri yake,
13Huleta mawingu ili kuadhibu wanadamu,
14“Ayubu, sikiliza hili;
15Je, unajua jinsi Mungu anavyoyaongoza mawingu,
16Je, wajua jinsi mawingu yanavyokaa yakiwa yametulia,
17Wewe unayeshindwa na joto katika nguo zako
18je, waweza kuungana naye katika kuzitandaza anga,
19“Tuambieni yatupasayo kumwambia;
20Je, aambiwe kwamba nataka kuongea?
21Basi hakuna awezaye kulitazama jua,
22Kutoka kaskazini yeye huja na fahari kuu;
23Yeye Mwenyezi hatuwezi kumfikia, naye ametukuzwa katika uweza;
24Kwa hiyo, wanadamu mheshimuni,