We Believe JesusFé, Esperança e Nova Vida

Ayubu 20

Biblica® Toleo Wazi la Neno: Biblia Takatifu™ · suaíli

← Ayubu 19 Ayubu Ayubu 21 →

1Ndipo Sofari Mnaamathi akajibu:

2“Mawazo yanayonisumbua yananisukuma kujibu,

3Ninasikia makaripio ambayo yananivunjia heshima,

4“Hakika unajua jinsi ilivyokuwa tangu zamani,

5macheko ya mtu mwovu ni ya muda mfupi,

6Ingawa kujikweza kwake hufikia mbinguni

7ataangamia milele kama mavi yake mwenyewe.

8Kama ndoto hutoweka, wala hapatikani tena,

9Jicho lililomwona halitamwona tena;

10Watoto wake watalipa yote baba yao aliyowadhulumu maskini,

11Nguvu za ujana zilizoijaza mifupa yake,

12“Ingawa uovu ni mtamu kinywani mwake

13ingawa hawezi kukubali kuuachia uende,

14Hata hivyo chakula chake kitakuwa kichungu tumboni mwake,

15Atatema mali alizozimeza;

16Atanyonya sumu za majoka;

17Hatafurahia vijito,

18Vile alivyovitaabikia atavirudisha bila kuvila;

19Kwa kuwa aliwaonea maskini na kuwaacha pasipo kitu;

20“Hakika hatakuwa na raha katika kutamani kwake sana;

21Hakuna chochote kitakachosalia kwa ajili yake ili ale;

22Katikati ya wingi wa ustawi wake, dhiki itampata;

23Atakapokuwa amelijaza tumbo lake,

24Ijapokuwa aikimbia silaha ya chuma,

25Atauchomoa katika mgongo wake,

26giza nene linavizia hazina zake.

27Mbingu zitaweka wazi hatia yake,

28Mafuriko yataichukua nyumba yake,

29Hili ndilo fungu Mungu alilowagawia waovu,

← Ayubu 19 Ayubu Ayubu 21 →