We Believe JesusFé, Esperança e Nova Vida

Yeremia 31

Biblica® Toleo Wazi la Neno: Biblia Takatifu™ · suaíli

← Yeremia 30 Yeremia Yeremia 32 →

1“Wakati huo, nitakuwa Mungu wa koo zote za Israeli nao watakuwa watu wangu,” asema Bwana.

2Hili ndilo asemalo Bwana:

3Bwana alitutokea wakati uliopita, akisema:

4Nitakujenga tena nawe utajengeka upya,

5Utapanda tena shamba la mizabibu

6Itakuja siku wakati walinzi watakapowapigia kelele

7Hili ndilo asemalo Bwana:

8Tazama, nitawaleta kutoka nchi ya kaskazini

9Watakuja wakilia;

10“Sikieni neno la Bwana, enyi mataifa,

11Kwa kuwa Bwana atamlipia fidia Yakobo

12Watakuja na kupiga kelele kwa furaha katika miinuko ya Sayuni;

13Kisha wanawali watacheza na kufurahi,

14Nitawashibisha makuhani kwa wingi,

15Hili ndilo asemalo Bwana:

16Hili ndilo asemalo Bwana:

17Kwa hiyo kuna tumaini kwa siku zijazo,”

18“Hakika nimeyasikia maombolezo ya Efraimu:

19Baada ya kupotea, nilitubu;

20Je, Efraimu si mwanangu mpendwa,

21“Weka alama za barabara,

22Utatangatanga hata lini,

23Hili ndilo Bwana Mwenye Nguvu Zote, Mungu wa Israeli, asemalo, “Nitakapowarudisha toka nchi ya kutekwa kwenu, watu walio katika nchi ya Yuda na miji yake kwa mara nyingine tena watatumia maneno haya: ‘Bwana akubariki, ee makao ya haki, ee mlima mtakatifu.’

24Watu wataishi pamoja katika Yuda na miji yake yote, wakulima na wote wanaohamahama na mifugo yao.

25Nitawaburudisha waliochoka na kuwatuliza walio na huzuni.”

26Kwa jambo hili niliamka na kuangalia pande zote. Usingizi wangu ulikuwa mtamu kwangu.

27Bwana asema, “Siku zinakuja, nitakapoongeza idadi ya watu, na kuzidisha hesabu ya mifugo katika nyumba ya Israeli na nyumba ya Yuda.

28Kama vile nilivyowaangalia ili kungʼoa na kubomoa, kuharibu, kuangamiza na kuleta maafa juu yao, vivyo hivyo nitawaangalia ili kujenga na kupanda,” asema Bwana.

29“Katika siku hizo, watu hawatasema tena,

30Badala yake, kila mmoja atakufa kwa ajili ya dhambi zake mwenyewe; yeyote alaye zabibu chachu, meno yake mwenyewe yatatiwa ganzi.

31“Siku zinakuja,” asema Bwana,

32Halitafanana na agano

33“Hili ndilo agano nitakalofanya na nyumba ya Israeli

34Mtu hatamfundisha tena jirani yake,

35Hili ndilo asemalo Bwana,

36“Ikiwa amri hizi zitaondoka machoni pangu,”

37Hili ndilo asemalo Bwana:

38“Siku zinakuja,” asema Bwana, “wakati mji huu utajengwa upya kwa ajili yangu, kuanzia mnara wa Hananeli hadi Lango la Pembeni.

39Kamba ya kupimia itaanzia hapo kuendelea hadi kwenye kilima cha Garebu, na kisha kugeuka kuelekea Goa.

40Bonde lote watupwapo maiti na majivu pia na matuta yote kutoka Bonde la Kidroni upande wa mashariki hadi pembe ya Lango la Farasi, itakuwa takatifu kwa Bwana. Kamwe mji huu hautangʼolewa tena wala kubomolewa.”

← Yeremia 30 Yeremia Yeremia 32 →