1Kisha Bwana akaniambia: “Hata kama Mose na Samweli wangesimama mbele zangu, moyo wangu usingewaelekea watu hawa. Waondoe mbele za macho yangu! Waache waende!
2Nao kama wakikuuliza, ‘Twende wapi?’ Waambie, ‘Hili ndilo Bwana asemalo:
3Bwana asema, “Nitatuma aina nne za waharabu dhidi yao: nazo ni upanga ili kuua na mbwa ili wakokote mbali, ndege wa angani na wanyama wa nchi ili kula na kuangamiza.
4Nitawafanya wawe machukizo kwa falme zote za dunia kwa sababu ya kile alichofanya Manase mwana wa Hezekia mfalme wa Yuda huko Yerusalemu.
5“Ni nani atakayekuhurumia, ee Yerusalemu?
6Umenikataa mimi,” asema Bwana.
7Nitawapepeta kwa uma wa kupepetea
8Nitawafanya wajane wao kuwa wengi
9Mama mwenye watoto saba atazimia
10Ole wangu, mama yangu, kwamba ulinizaa,
11Bwana akasema,
12“Je, mtu aweza kuvunja chuma,
13Utajiri wako na hazina zako nitavitoa kuwa nyara,
14Nitakufanya uwe mtumwa wa adui zako
15Wewe unafahamu, Ee Bwana,
16Maneno yako yalipokuja, niliyala;
17Kamwe sikuketi katika kundi la wafanyao sherehe,
18Kwa nini maumivu yangu hayakomi,
19Kwa hiyo hili ndilo asemalo Bwana:
20Nitakufanya wewe uwe ukuta kwa watu hawa,
21“Nitakuokoa kutoka mikono ya waovu,