We Believe JesusFé, Esperança e Nova Vida

Yeremia 14

Biblica® Toleo Wazi la Neno: Biblia Takatifu™ · suaíli

← Yeremia 13 Yeremia Yeremia 15 →

1Hili ndilo neno la Bwana kwa Yeremia kuhusu ukame:

2“Yuda anaomboleza,

3Wakuu wanawatuma watumishi wao maji;

4Ardhi imepasuka nyufa

5Hata kulungu mashambani

6Punda-mwitu wanasimama juu ya miinuko iliyo kame

7Ingawa dhambi zetu zinashuhudia juu yetu,

8Ee Tumaini la Israeli,

9Mbona unakuwa kama mtu aliyeshtukizwa,

10Hili ndilo Bwana asemalo kuhusu watu hawa:

11Kisha Bwana akaniambia, “Usiombe kwa ajili ya mafanikio ya watu hawa.

12Ingawa wanafunga, sitasikiliza kilio chao; hata wakitoa dhabihu za kuteketezwa na dhabihu za nafaka, sitazikubali. Badala yake, nitawaangamiza kwa upanga, njaa na tauni.”

13Lakini nikasema, “Aa, Bwana Mwenyezi, manabii wanaendelea kuwaambia, ‘Hamtaona upanga wala kukabiliwa na njaa. Naam, nitawapa amani ya kudumu mahali hapa.’ ”

14Ndipo Bwana akaniambia, “Manabii wanatabiri uongo kwa jina langu. Sikuwatuma, wala sikuwaweka, wala sikusema nao. Wanawatabiria maono ya uongo, maaguzi, maono ya sanamu zisizofaa kitu, na madanganyo ya mawazo yao wenyewe.

15Kwa hiyo, hili ndilo Bwana asemalo kuhusu manabii wanaotabiri kwa jina langu: Mimi sikuwatuma, lakini wanasema, ‘Hakuna upanga wala njaa itakayoigusa nchi hii.’ Manabii hao hao watakufa kwa upanga na njaa.

16Nao watu hao wanaowatabiria watatupwa nje katika barabara za Yerusalemu kwa sababu ya njaa na upanga. Hapatakuwepo yeyote wa kuwazika wao au wake zao, wana wao au binti zao. Nitawamwagia maafa wanayostahili.

17“Nena nao neno hili:

18Kama nikienda mashambani,

19Je, umemkataa Yuda kabisa?

20Ee Bwana, tunatambua uovu wetu

21Kwa ajili ya jina lako usituchukie kabisa;

22Je, kuna sanamu yoyote isiyofaa kitu ya mataifa

← Yeremia 13 Yeremia Yeremia 15 →