1“Je, waweza kumvua Lewiathani41:1 Lewiathani ni mnyama mkubwa wa baharini mwenye magamba anayefanana na joka kubwa, mwenye umbo la kutisha, asiyeweza kuvuliwa. kwa ndoano ya samaki,
2Waweza kupitisha kamba puani mwake,
3Je, ataendelea kukuomba umhurumie?
4Je, atafanya agano nawe ili umtwae
5Je, utamfuga na kumfanya rafiki kama ndege,
6Je, wafanyabiashara watabadilishana bidhaa kwa ajili yake?
7Je, waweza kuijaza ngozi yake kwa vyuma vyenye ncha kali,
8Kama ukiweka mkono wako juu yake,
9Tumaini lolote la kumtiisha ni kujidanganya;
10Hakuna yeyote aliye mkali athubutuye kumchokoza.
11Ni nani mwenye madai dhidi yangu ili nipate kumlipa?
12“Sitashindwa kunena juu ya maungo yake,
13Ni nani awezaye kumvua gamba lake la nje?
14Nani athubutuye kuufungua mlango wa kinywa chake,
15Mgongo wake una safu za ngao
16kila moja iko karibu sana na mwenzake,
17Zimeunganishwa imara kila moja na nyingine;
18Akipiga chafya mwanga humetameta;
19Mienge iwakayo humiminika kutoka kinywani mwake;
20Moshi hufuka kutoka puani mwake,
21Pumzi yake huwasha makaa ya mawe,
22Nguvu hukaa katika shingo yake;
23Mikunjo ya nyama yake imeshikamana imara pamoja;
24Kifua chake ni kigumu kama mwamba,
25Ainukapo, mashujaa wanaogopa;
26Upanga unaomfikia haumdhuru,
27Chuma hukiona kama unyasi,
28Mishale haimfanyi yeye akimbie;
29Rungu kwake huwa kama kipande cha jani kavu;
30Sehemu zake za chini kwenye tumbo
31Huvisukasuka vilindi kama sufuria kubwa ichemkayo,
32Anapopita nyuma yake huacha mkondo unaometameta;
33Hakuna chochote duniani kinacholingana naye:
34Yeye huwatazama chini wale wote wenye kujivuna;