1Ndipo Elifazi Mtemani akajibu:
2“Kama mtu akithubutu kuzungumza nawe,
3Fikiri jinsi ambavyo umewafundisha watu wengi,
4Maneno yako yamewategemeza wale waliojikwaa;
5Lakini sasa hii taabu imekujia wewe,
6Je, kumcha Mungu kwako hakupaswi kuwa
7“Fikiri sasa: Ni mtu yupi asiye na hatia ambaye aliwahi kuangamia?
8Kwa jinsi ambavyo mimi nimechunguza,
9Kwa pumzi ya Mungu huangamizwa;
10Simba anaweza kunguruma na kukoroma,
11Simba anaweza kuangamia kwa kukosa mawindo,
12“Neno lililetwa kwangu kwa siri,
13Katikati ya ndoto za kutia wasiwasi wakati wa usiku,
14hofu na kutetemeka kulinishika
15Kuna roho aliyepita mbele ya uso wangu,
16Yule roho akasimama,
17‘Je, binadamu aweza kuwa mwadilifu kuliko Mungu?
18Kama Mungu hawaamini watumishi wake,
19ni mara ngapi zaidi wale waishio katika nyumba
20Kati ya mawio na machweo
21Je, kamba za hema yao hazikungʼolewa,