1“Kwa nini Mwenyezi asiweke nyakati kwa ajili ya hukumu?
2Watu husogeza mawe ya mpaka;
3Huwanyangʼanya yatima punda wao,
4Humsukuma mhitaji kutoka njia,
5Kama punda-mwitu jangwani,
6Hukusanya chakula mashambani na kuokota masazo
7Kwa kukosa nguo, usiku kucha hukaa uchi;
8Hutota kwa mvua za mlimani,
9Mtoto yatima hupokonywa matitini;
10Kwa kukosa nguo, hutembea uchi;
11Hukamua zeituni katika mawe ya kusagia;
12Kilio cha huzuni cha wanaokufa kinapaa kutoka mjini,
13“Wako wale wanaoiasi nuru,
14Wakati mwanga wa mchana unapotoweka, muuaji huinuka
15Jicho la mzinzi hungojea wakati wa giza,
16Katika giza, huvunja majumba,
17Kwa wote hawa, giza nene ndiyo asubuhi yao;
18“Lakini wao ni povu juu ya maji;
19Kama vile joto na hari vinyakuavyo theluji iliyoyeyuka,
20Tumbo lililowazaa huwasahau,
21Huwafanya mawindo wanawake tasa na wasio na watoto,
22Lakini Mungu huwakokota wenye nguvu kwa uwezo wake;
23Aweza akawaacha wakapumzika wakijihisi salama,
24Kwa kitambo kidogo hutukuka, hatimaye hutoweka;
25“Kama hili sivyo, ni nani awezaye kunithibitisha kuwa mwongo,