We Believe JesusFé, Esperança e Nova Vida

Ayubu 17

Biblica® Toleo Wazi la Neno: Biblia Takatifu™ · suaíli

← Ayubu 16 Ayubu Ayubu 18 →

1Moyo wangu umevunjika,

2Hakika wenye mizaha wamenizunguka;

3“Ee Mungu, nipe dhamana unayodai.

4Umezifunga akili zao zisipate ufahamu,

5Kama mtu akiwashutumu rafiki zake ili apate ujira,

6“Mungu amenifanya kitu cha dhihaka kwa kila mtu,

7Macho yangu yamefifia kwa ajili ya majonzi;

8Watu wanyofu wanatishwa na hili;

9Hata hivyo, waadilifu watazishika njia zao,

10“Lakini ninyi njooni, ninyi nyote, jaribuni tena!

11Siku zangu zimepita, mipango yangu imevunjika,

12Watu hawa hufanya usiku kuwa mchana,

13Kama nyumba pekee ninayoitarajia ni kaburi,17:13 Kaburi hapa maana yake ni Kuzimu, kwa Kiebrania ni Sheol.

14kama nikiuambia uharibifu, ‘Wewe u baba yangu,’

15liko wapi basi tarajio langu?

16Je, litashuka chini hadi kwenye malango ya mauti?17:16 Malango ya mauti hapa ina maana ya Kuzimu.

← Ayubu 16 Ayubu Ayubu 18 →