We Believe JesusFé, Esperança e Nova Vida

Isaya 59

Biblica® Toleo Wazi la Neno: Biblia Takatifu™ · suaíli

← Isaya 58 Isaya Isaya 60 →

1Hakika mkono wa Bwana si mfupi hata usiweze kuokoa,

2Lakini maovu yenu yamewatenga

3Kwa maana mikono yenu imetiwa mawaa kwa damu

4Hakuna hata mmoja anayedai kwa haki;

5Huangua mayai ya nyoka wenye sumu kali

6Utando wao wa buibui haufai kwa nguo;

7Miguu yao hukimbilia kwenye dhambi,

8Hawajui njia ya amani,

9Hivyo uadilifu uko mbali nasi,

10Tunapapasa ukuta kama kipofu,

11Wote tunanguruma kama dubu;

12Kwa sababu makosa yetu ni mengi machoni pako,

13Uasi na udanganyifu dhidi ya Bwana,

14Hivyo uadilifu umerudishwa nyuma,

15Kweli haipatikani popote,

16Aliona kuwa hakuwepo hata mtu mmoja,

17Alivaa haki kama dirii kifuani mwake,

18Kulingana na kile walichokuwa wametenda,

19Kuanzia magharibi, watu wataliogopa jina la Bwana

20“Mkombozi atakuja Sayuni,

21“Kwa habari yangu mimi, hili ndilo agano langu nao,” asema Bwana. “Roho wangu, aliye juu yenu, na maneno yangu ambayo nimeyaweka katika vinywa vyenu, havitaondoka vinywani mwenu, wala kutoka vinywani mwa watoto wenu, wala kutoka vinywani mwa wazao wao, kuanzia sasa na hata milele,” asema Bwana.

← Isaya 58 Isaya Isaya 60 →