1“Imba, ewe mwanamke tasa,
2“Panua mahali pa hema lako,
3Kwa maana utaenea upande wa kuume
4“Usiogope, wewe hutaaibika.
5Kwa maana Muumba wako ndiye mume wako,
6Bwana atakuita urudi
7“Kwa kitambo kidogo nilikuacha,
8Katika ukali wa hasira
9“Kwangu mimi jambo hili ni kama siku za Noa,
10Ijapotikisika milima, na vilima viondolewe,
11“Ewe mji uliyeteswa, uliyepigwa kwa dhoruba na usiyetulizwa,
12Nitafanya minara yako ya akiki,
13Watoto wako wote watafundishwa na Bwana,
14Kwa haki utathibitika:
15Kama mtu yeyote akikushambulia,
16“Tazama, ni mimi niliyemuumba mhunzi,
17Hakuna silaha itakayofanyizwa dhidi yako