1Amka, amka, ee Sayuni,
2Jikungʼute mavumbi yako,
3Kwa kuwa hili ndilo asemalo Bwana:
4Kwa maana hili ndilo asemalo Bwana Mwenyezi:
5“Basi sasa nina nini hapa?” asema Bwana.
6Kwa hiyo watu wangu watalijua Jina langu;
7Tazama jinsi miguu ya wale waletao habari njema
8Sikiliza! Walinzi wako wanapaza sauti zao,
9Pazeni sauti ya nyimbo za furaha pamoja,
10Mkono mtakatifu wa Bwana umefunuliwa
11Ondokeni, ondokeni, tokeni huko!
12Lakini hamtaondoka kwa haraka,
13Tazama, mtumishi wangu atatenda kwa hekima;
14Kama walivyokuwa wengi
15hivyo atayashangaza mataifa mengi,