1Jangwa na nchi kame vitafurahi;
2litachanua maua,
3Itieni nguvu mikono iliyo dhaifu,
4waambieni wale wenye mioyo ya hofu,
5Ndipo macho ya vipofu yatafumbuliwa
6Ndipo kilema atarukaruka kama kulungu,
7Mchanga wa moto utakuwa bwawa la maji,
8Nako kutakuwa na njia kuu,
9Huko hakutakuwepo na simba,
10waliokombolewa na Bwana watarudi.