1Neno kuhusu Tiro:
2Nyamazeni kimya, enyi watu wa kisiwani,
3Kwenye maji makuu
4Uaibishwe ee Sidoni, nawe ee ngome la bahari,
5Habari ifikapo Misri,
6Vukeni mpaka Tarshishi,
7Je, huu ndio mji wenu uliojaa sherehe,
8Ni nani amepanga hili dhidi ya Tiro,
9Bwana Mwenye Nguvu Zote ndiye alipanga jambo hili,
10Ee Binti Tarshishi,
11Bwana amenyoosha mkono wake juu ya bahari
12Alisema, “Usizidi kufurahi,
13Tazama katika nchi ya Wakaldayo,
14Ombolezeni, enyi meli za Tarshishi;
15Wakati huo Tiro utasahauliwa kwa miaka sabini, muda wa maisha ya mfalme. Lakini mwisho wa miaka hiyo sabini, itakuwa kwa Tiro kama ilivyo katika wimbo wa kahaba:
16“Twaa kinubi, tembea mjini kote,
17Mwishoni mwa miaka sabini, Bwana atashughulika na Tiro. Naye atarudia ajira yake ya ukahaba, na atafanya biashara yake na falme zote juu ya uso wa dunia.
18Lakini faida na mapato yake yatawekwa wakfu kwa Bwana; hayatahifadhiwa wala kufichwa. Faida zake zitakwenda kwa wale wakaao mbele za Bwana kwa ajili ya chakula tele na mavazi mazuri.