We Believe JesusFé, Esperança e Nova Vida

Ezekieli 28

Biblica® Toleo Wazi la Neno: Biblia Takatifu™ · suaíli

← Ezekieli 27 Ezekieli Ezekieli 29 →

1Neno la Bwana likanijia kusema:

2“Mwanadamu, mwambie mfalme wa Tiro, ‘Hili ndilo Bwana Mwenyezi asemalo:

3Je, wewe una hekima kuliko Danieli?

4Kwa hekima yako na ufahamu wako,

5Kwa werevu wako mwingi katika biashara,

6“ ‘Kwa hiyo, hili ndilo Bwana Mwenyezi asemalo:

7mimi nitawaleta wageni dhidi yako,

8Watakushusha chini shimoni,

9Je, wakati huo utasema, “Mimi ni mungu,”

10Utakufa kifo cha wasiotahiriwa

11Neno la Bwana likanijia kusema:

12“Mwanadamu, mfanyie maombolezo mfalme wa Tiro, nawe umwambie: ‘Hili ndilo Bwana Mwenyezi asemalo:

13Ulikuwa ndani ya Edeni,

14Ulitiwa mafuta kuwa kerubi mlinzi,

15Ulikuwa mnyofu katika njia zako

16Kutokana na biashara yako iliyoenea,

17Moyo wako ukawa na kiburi

18Kwa dhambi zako nyingi na biashara yako ya dhuluma,

19Mataifa yote yaliyokujua

20Neno la Bwana likanijia kusema:

21“Mwanadamu, elekeza uso wako juu ya Sidoni, ukatabiri dhidi yake,

22nawe useme: ‘Hili ndilo Bwana Mwenyezi asemalo:

23Nitapeleka tauni ndani yake

24“ ‘Nyumba ya Israeli hawatakuwa tena na majirani wenye nia ya kuwadhuru wanaoumiza kama michongoma na miiba mikali. Ndipo watakapojua kwamba Mimi ndimi Bwana Mwenyezi.

25“ ‘Hili ndilo Bwana Mwenyezi asemalo: Nitakapoikusanya nyumba ya Israeli kutoka mataifa ambako wametawanyika, nitajionyesha kuwa mtakatifu miongoni mwao machoni pa mataifa. Ndipo watakapoishi katika nchi yao wenyewe, niliyompa mtumishi wangu Yakobo.

26Wataishi humo kwa salama na watajenga nyumba na kupanda mashamba ya mizabibu, wataishi kwa salama nitakapowaadhibu majirani zao wote ambao waliwafanyia uovu. Ndipo watakapojua kwamba Mimi ndimi Bwana, Mungu wao.’ ”

← Ezekieli 27 Ezekieli Ezekieli 29 →